KISUVITA WATOA SOMO LA LUGHA YA ALAMA KWA POLIS NA MAGEREZA 0 Kitaifa 21:51:00 A+ A- Print Email Katika kuadhimisha wiki ya viziwi dunia Kisuvita kanda ya kusini wanaadhimisha kwa kufanya shughuli mbalimbali za kijami ikiwemo kufanya usafi kwenye taasisi za UMMA, na kutoa elimu ya umuhimu wa Lugha za Alama kwa vyombo vya ulinzi na Usalama
Post a Comment