0


Ligi ya Kazumari cup
Matokeo ya mchezo wa leo augost 9 kati ya Mitumba fc dhidi ya Nyela city umemalizika kwa timu ya Mitumba fc kuibuka na ushindi wa magoli 11-0 mchezo uliochezwa uwanja wa wilaya ya Liwale mkoani Lindi.

Katika kipindi cha kwanza timu Mitumba fc iliongoza magoli 3-0 na kipindi cha pili iliongeza magoli 8 huku wachezaji wa Nyela city wakionekana kukata tamaa kuendelea na mchezo.

Magli ya timu ya Mitumba fc yamefungwa na Selemani Mpoto magoli 2,Saidi Matumla,Geoge John magoli 3,Muksini Ndumbi magoli 2,Haikosi Mpwate,Rahimu Hokororo na Bakari Ng'ang'anaku

Post a Comment

 
Top