0

Serikali kupitia Menejimenti ya Utumishi wa Umma yatoa taarifa ya watu wenye Vyeti Vyenye Utata hii ni utekelezaji wa matokeo ya uhakiki wa vyeti feki. Katika swala la vyeti feki inasemekana kuna watu pia walikwenda baraza la mitihani na kutaka kutoa rushwa ya Shilingi milioni Mbili na wengine Milioni tatu ili taarifa za vyeti vyao vibadilishwe. Ofisi ya Rais Menejiment na Utumishi wa Umma imetoa taarifa pia kuhusu hilo na kudai kuwa wamefatilia na majina ya wahusika wanayo.
Hii ni Orodha Iliyotolewa walio na Vyeti Tata


















Post a Comment

 
Top