Ratiba hii inatarajiwa kutoka Jumatano ya Leo saa 3 asubuhi kwa masaa ya Uingereza lakini kwa masaa ya Afrika Mashariki itaonekana kuanzia saa 5 kamili asubuhi.
Ligi ya England Premier League ambayo ilimalizika mwezi uliopita tukishuhudia Chelsea wakitwaa taji hilo la msimu wa 2016/17.
Tunatarajia kuingia msimu mpya wa Ligi hii ambapo siku ya Leo ratiba nzima za mechi katika msimu mzima zinatolewa.
Ligi hii inatarajiwa kuanza rasmi mnamo mwezi August 12 mwaka huu,na idadi ya klabu ni zilezile 20 kama kawaida baada ya kushuka klabu tatu zimepanda tena klabu tatu.
NA HIZI NDIO KLABU 20 AMBAPO KILA KLABU MOJA INATARAJIA KUPANGIWA RATIBA YAKE YA MSIMU MZIMA
▪AFC Bournemouth
▪Arsenal
▪Brighton
▪Burnley
▪Chelsea
▪Crystal Palace
▪Everton
▪Huddersfield Town
▪Leicester City
▪Liverpool
▪Manchester City
▪Manchester United
▪Newcastle United
▪Southampton
▪Stoke City
▪Swansea City
▪Tottenham Hotspur
▪Watford
▪West Bromwich Albion
▪West Ham United.

Post a Comment