Moto mkubwa unateketeza jengo moja la makazi katika barabara ya Latimer magharibi mawa London na wanaoshuhudia wanadai kuwa watu wamekwama manyumbai mwao.
Moto huo katika jengo la Grenfell Tower ulianza mwendo wa saa 01:16 saa za Uingerzea na karibu wazima 200 wanapambana nao.
Polisi wanasema kuwa watu wanatibiwa kwa majeraha tofauti.
Mwandishi wa BBC anasena jengo hilo lote limeshika moto na kuna hofu kuwa huenda likaporomoka.
Idara ya wazima moto jijini London imetuma malori 40 ya kuzima moto huo
Post a Comment