

Rais mstaafu J K Kikwete apokewa kwa shangwe kubwa sana Dododma
Leo
ikiwa aprili 26 ni siku ya maadhimisho ya miaka 53 ya muungano wa Tanganyika na
Zanzibar na kutengeneza nchi moja ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Sherehe za maadhimisho hayo yanaendelea katika uwanja wa Jamhuri Stadium
mkoani Dodoma, Mgeni rasmi katika sherehe hizo ni Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania.
Post a Comment