Marufuku hiyo ya Trump ilizua ghasia katika viwanja vya ndege na kusababisha maandamano nhcini humo
Donald Trump
anasema kuwa huenda akabadilisha marufuku yake dhidi ya wahamiaji na
agizo jingine la rais litakalopiga marufuku raia wa mataifa kadhaa
kutoingia Marekani baada ya jaribio lake la awali kubadilishwa na
mahakama.
Bw Trump aliambia wanahabari katika ndege ya Airfoce One kwamba amri mpya huenda ikatolewa mapema siku ya Jumatatu ama jumanne .- Trump: Wakimbizi wa Syria hawaruhusiwi Marekani
- Jaji apiga marufuku amri ya Trump kurudisha wahamiaji makwao
- Trump ataka ukaguzi wa makini kufanywa mipakani
- Trump kuwazuia wahamiaji kuingia Marekani
- Huenda amri ya Trump "ikazua ghasia Marekani"
Agizo hilo lilikuwa limepiga marufuku raia kutoka mataifa saba ya Waislamu.
Haijulikani ni vipi amri hiyo mpya itakuwa.
Bw Trump amesema kuwa amri hiyo itakuwa na mabadilik kidogo lakini hakutoa maelezo zaidi.
''Tutashinda vita hivi,Trump aliwaambia maripota akiongezea:Tatizo ni kwamaa inachukua muda mwingi.Lakini tutashinda vita hivyo.Lakini pia tuna njia nyengine mbadala ikiwemo kuanzisha upya marufuku nyengine''.
Post a Comment