Wakongwe wa soka Tanzania Bara Simba
na Yanga watashuka Dimbani katika michezo miwili tofauti wikiendi hii katika
mwendelezo wa Michuano ya Azam Sports
Federation Cup (ASFC) kumenyana na Timu zinazoshiriki ligi daraja la
chini.
Mabingwa watetezi wa Kombe hilo Dar es Salaam
Young African wao watakuwa wakwanza kushuka Dimbani jumamosi ya kesho kumenyana
na Ashanti United, zote za Jijini Dar es
Salaam.
Mchezo huo wa hatua ya 32 Bora
umepangwa kupigwa majira ya saa 10:00 alasiri hiyo kesho katika Uwanja wa
Uhuru, Dar es Salaam baada ya wauza mitumba wa Ilala Ashanti United kuitoa timu
ya Daraja la Kwanza, Friends Rangers.
Nao Simba SC iliyotolewa hatua ya nusu fainal na Mwadui FC ya Shinyanga katika Kombe la Azam Sports federation Cup msimu uliopita watashuka Dimbani siku ya Jumapili katika uwanja wa Uhuru kumenyana na Polisi Dar es Salaam, wakati washindi wa pili wa mwaka jana, Azam FC watashuka Dimbani kumenyana na Cosmopolitan Jumatatu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
Ratiba kamili ya hatua 32 bora hii
hapa katika michezo itakayopigwa jumamosi,jumapili na jumatatu
Januari
21, 2017
Alliance Vs Mbao (CCM Kirumba, Mwanza)
Maji Maji Vs Mighty (Maji Maji, Songea)
Yanga Vs Ashanti United (Uhuru, Dar es Salaam)
Januari 22, 2017
Ruvu Shooting Vs Kiluvya United (Mabatini, Mlandizi)
Toto Africans Vs Mwadui (CCM Kirumba, Mwanza)
Simba SC Vs Polisi Dar (Uhuru, Dar es Salaam)
Mbeya Worriors Vs Prisons (Sokoine, Mbeya)
Januari 23, 2017
Stand United Vs Polisi Mara (Karume, Musoma)
Azam FC Vs Cosmopolitan (Azam Complex, Chamazi)
Ndanda FC Vs Mlale JKT (Nangwanda Sijaona, Mtwara)
Januari 24, 2016
Mtibwa Sugar Vs Polisi Moro (Jamhuri, Morogoro)
Kurugenzi FC Vs JKT Ruvu (Mafinga, Iringa)
Mbeya City Vs Kabela City (Sokoine, Mbeya)
Madini Vs Panone (Sheikh Amri Abeid, Arusha)
Januari 25, 2017
Singida United Vs Kagera Sugar (Namfua, Singida)
African Lyon Vs Mshikamano (Uhuru, Dar es Salaam)

Post a Comment