Jumla
ya wananchi wapatao Elfu 9280 wa jimbo la Dimani hii leo wanaendelea na zoezi
la upigaji wa kura kwa kumchagua mwakilishi wa Jimbo hilo kwa nafasi ya Ubunge kufuatia
kufariki kwa Aliyekuwa mbunge wa Jimbo hilo Hafidh Ali Tahri aliyefariki Dunia November
mwaka jana mjini Dodoma
Hali
ya uchaguzi huo mdogo inaendelea vizuri ambapo wananchi wanaendelea kujitokeza
kwa wingi kupiga kura katika vituo zaidi ya Ishirini vya kupigia kura
Kwa
mujibu wa taarifa tulizozipata kupitia kwa mwandishi wetu zimesema kuwa katika
vituo walivyovitembelea hali ni shuari na ulinzi umeimarika katika maeneo yeto
ya jimbo la dimana
Kwa mujibu wa wasimamizi
wa wakuu NEC Matokeo
ya uchaguzi huo ulioshirikisha vyama kumi na moja ikiwemo CCM,CUF na ACT yatatangazwa punde baada ya kukamilika
kwa zoezi la kuhesabu kura.
Post a Comment