Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
pamoja na Marais wa wa mataifa mbalimbali katika mkutano wa AU
unaoendelea mjini Addis Abba nchini Ethiopia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN) Antonio Manuel
Olveira Guterres kabla ya kuanza mazungumzo yao katika Ofisi za Makao
Makuu ya Umoja wa Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa nchini Ethiopia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika mazungumzo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN) Antonio Manuel
Olveira Guterres katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Umoja wa
Afrika (AU), Addis Ababa nchini Ethiopia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN) Antonio Manuel Olveira
Guterres mara baada ya mazungumzo yao.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Rais wa Malawi Peter Mutharika kabla ya kuanza
mazungumzo yao katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Umoja wa Afrika
(AU), Addis Ababa nchini Ethiopia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
ameshikana mikono na Rais wa Malawi Peter Mutharika pamoja na viongozi
wengine mara baada ya kumaliza mazungumzo yao katika Ofisi za Makao
Makuu ya Umoja wa Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa nchini Ethiopia.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Kidemokrasia ya
Sahrawi(SADR) Brahim Ghali katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa
Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa nchini Ethiopia.
Post a Comment