Watu watatu kutoka Jijini Arusha wamenusurika kuuwawa na wananchi wenye
hasira kali katika kijiji cha Mogitu wilayani Hanang, baada ya kukutwa
wakiharibu miundo mbinu ya Tanesco na kusababisha hasara ya zaidi ya
milioni kumi kwa Shirika hilo la umeme.
Lakini marietha Chimwenda ni meneja wa shirika la umeme tanesco wilayani
hanang ambapo hapa anatoa maneno yake kwa wananchi pamoja na
kuhakikishia wananchi kuwarejeshea huduma mara moja.
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa manyara kamishina msaidizi Franci Masawe anadhibitisha kukamatwa kwa wahusika wa tukio.
Kwa mujibu wa kamanda masawe majina ya watuhumiwa yanahifadhiwa kwa sababu za kiuchunguzi.
Post a Comment