0


Lindi Yetu


Team ya XXL ya Clouds FM imetoa list ya mastaa 10 wa Bongo ambao wameongoza kwa mwaka huu wa 2016 kwa kumiliki magari yenye thamani kuliko wote.
Lindiyetu.com ina kusogezea hapa karibu yako ili uweze kuisanukia list hiyo kuanzia namba 1 hadi namba 10 ya mastaa ambao wametisha kwa ku-push mikoko mikali.

1. Masoud Kipanya – Hummer H3


2. Diamond Platnumz & Masanja Mkandamizaji - 
BMW X6
BMW X6
3. Quick Rocker – Range Rover Sport
Range Rover Sport

4. Wema Sepetu – Range Rover Evoque
Range Rover Evoque

5. Gadner G Habash & Shetta – Discovery 3
Discovery 3

6. Alikiba – BMW X5
BMW X5
7. Madee – Prado 2008
Prado 2008

8. Nay wa Mitego – Prado 2005
Prado 2005

9. Idris Sultan – BMW M3
BMW M3
10. Professor Jay – Toyota Land Cruiser
Toyota Land Cruiser

Post a Comment

 
Top