Leo
asubuhi ya November 21, 2016. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aliamua
kutembea kwa mguu kutoka makazi yake yaliyopo Kilimani hadi Ofisini
kwake barabara ya Reli mjini Dodoma.
Pichani, Mheshimwa Majaliwa akilekea Ofisini kwake.
(Picha na Ofisi ya Waziri MKuu)
Post a Comment