Ni
orodha ya nchi Tano zinazotoa kiasi kikubwa cha misaada kwenye nchi na
mashirika mengine duniani. List hii imetajwa na taasisi ya Charities Aid Foundation kwa kupima idadi ya misaada inayotolewa kwa nchi masikini, nchi zenye majanga na watu wenye uhitaji mkubwa wa misaada.
Kwa mujibu wa taasisi ya Charities Aid Foundation: “World Giving Index” imeelezwa
kuwa ulifanyika utafiti kwenye nchi 145 mwaka 2015, na kuwasilishwa kwa
taarifa za idadi ya asilimia 96 ya watu duniani. Na Data za utafiti
zilikusanywa na Gallup World Poll.
Nchi | Kiwango cha Misaada | Kusaidia Nchi Nyingine | Misaada ya Kifedha | Muda wa kutoa Misaada | |
---|---|---|---|---|---|
1 | Myanmar | 66% | 55% | 92% | 50% |
2 | Marekani | 61% | 76% | 63% | 44% |
3 | New Zealand | 61% | 65% | 73% | 45% |
4 | Canada | 60% | 69% | 67% | 44% |
5 | Australia | 59% | 66% | 72% | 40% |
Post a Comment