Mkuu
wa wilaya wa Ruangwa mkoani Lindi,Joseph mkirikiti amezitaka asasi za kijamii
kutumia vizuri fedha za miradi kama zilivyokusudiwa ili iweze
kuleta tija kwa wananachi.
Wito huyo ameutoa
wakati alipokuwa anafungua
kikao cha kutambulisha
mradi wa kuwajengea
uwezo wasaidizi wa
kisheria kwa watendaji
na viongozi unatekelezwa na shirika
lisilo kuwa la kiserikali LIWOPAC
kwa kufadhiliwa na
shirika la LEGAL SERVICES FACILITY (LSF) uliofanyika katika ukumbi wa
chama cha walimu wilayani humo.
Mkirikiti alisema ili kuarakisha
maendeleo ya wananchi hakuna budi
watendaji na viongozi
wa wilaya hiyo
kuwapa ushirikiano wadau wa
maendeleo wakiwemo Asasi
za kiraia.
DC MKIRIKITI NA LIWOPAC kwenye picha ya pamoja
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.