SERIKALI YASITISHA KUFANYA MABADILIKO YA UMILIKI WA CLUB ZA YANGA NA SIMBA 0 Burudani, Kitaifa, Michezo 16:25:00 A+ A- Print Email Katibu mkuu wa baraza la michezo nchini (BMT) Mohamed Kiganja ameziagiza klabu za Simba na Yanga kuacha kufanya mabadiliko ya mfumo mpaka watakapo badilisha katiba zao ili kutokuvunja sheria za nchi Chanzo; Mwananchi
Post a Comment