Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe akishangilia baada ya kutokea
benchi na kufunga mabao mawili, Yanga ikishinda 4-0 dhidi ya JKT Ruvu
jioni ya leo Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam katika mchezo wa Ligi Kuu ya
Vodacom Tanzania Bara
Wafungaji wa mabao mengine ya Yanga leo, Obrey Chirwa (kulia) na Simon Msuva (kushoto)
Post a Comment