0

Diamond, Alikiba, Vanessa Mdee, Navy Kenzo, AY, Mayunga, Harmonize na Ray Vanny wametajwa kuwania tuzo za WatsUp TV Africa Music Video Awards – WAMVA16 za Ghana.

Hivi ndio vipengele ambavyo wasanii wa Tanzania wametajwa:

African Video Of The Year
Diamond ft P-Square – Kidogo

Best African RnB Video
AliKiba – Aje

Best African Performance
Diamond – Jembeka Festival

Best African Group/Duo Video
Navy Kenzo – Kamatia

Best African New Comer Video
Mayungaa ft Akon – “Please Don’t Go Away”
Harmonize ft Diamond – Bado

Best African Reggae/Dancehall
Navy Kenzo – Kamatia

Best East African Video 
Alikiba – Aje
Ray Vanny – Kwetu
Navy Kenzo – Kamatia
Harmonize ft Diamond – Bado
AY f. Diamond – Zigo Remix
Diamond ft P-Square – Kidogo

Best African Female Video
Vanessa Mdee – Niroge

Best African Male Video
Diamond ft P-Square – Kidogo

Best African Combo Video
Diamond ft AKA – Make Me Sing

Post a Comment

 
Top