0
 
Image result for BODI YA MIKOPO 2016/2017
  
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu imetangaza majina ya wanafunzi 2016/2017, waliokosea kujaza form za mikopo kwa kutokuweka vitu muhimu kama  sahihi za muombaji na sahihi za wadhamini wao.Kwa sababu hiyo kundi la hawa watu wanatakiwa kufika moja kwa moja ofisi ya bodi ya mikopo kuweka sahihi hizo.
Ofisi za bodi ya mikopo zipo Plot No. 8, Block No. 46 Sam Nujoma Road, Mwenge, Dar es Salaam.

Wote mliokosea mnatakiwa kufika katika ofisi za bodi ya mikopo kuanzia tarehe 3 jumatatu asubuhi kwa ajili ya kuviweka.

Lakini wale wote ambao hawakuweka picha,vyeti ,picha za wadhamini ,vyeti ambavyo havijakikiwa na mahakama wanatakiwa kutuma vitu hivyo  kwa anwani ya EMS kwenye anwani ifuatayo;  The Executive Director,
Higher Education Students’ Loans Board,
P. O. Box 76068,
DAR ES SALAAM.

Pia bodi inawaasa wanafunzi kuwa kusahihisha information za mikopo sio gurantee kwamba ndio utapata mkopo.
pia kama hautasahihisha information zako,itaendelea kuwa hivyo hadi utakapoamua kusahihisha. 
 

DEADLINE YA KUREKEBISHA NI TAREHE 7/10/2016 
NOTE:UKIONA LINK HAPO CHINI HAIFUNGUKI,JUA IPO BUSY,TRY AGAIN AND AGAIN UKITUMIA MTANDAO WENYE KASI.
 
KUONA MAJINA HAYO  <<BONYEZA HAPA>>

Post a Comment

 
Top