Hatua hii ya kupigwa mabomu ya michozi baada ya timu ya yanga kufunga goli na beki wa simba kupewa kadi nyekundi jambo hilo mashabiki wa simba hawakuridhika nayo wakidai mchezoji Hamisi Kiza alishaotea.
Katika kipindi cha kwanza Yanga wanaongeza goli mmoja lililofungwa na Hamisi Kiza
Post a Comment