CLARENCE CHILUMBA ENZI ZA UHAI WAKE
TANZIA
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI WA MASASI BI.GIMBANA EMANUEL NTAVYO,ANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA AFISA HABARI NDG. CLARENCE CHILUMBA KILICHOTOKEA LEO TAREHE 02/09/2016, NDG. CHILUMBA ALIPATA AJALI YA PIKIPIKI SIKU YA TAREHE 31/8/2016 MAJIRA YA JIONI MJINI MASASI WAKATI AKITOKEA KAZINI KUELEKEA NYUMBANI KWAKE.

BAADA
YA KUPATA AJALI ALIWAHISHWA HOSPITALINI MKOMAINDO AMBAPO ALIPATA HUDUMA
YA KWANZA NA BAADAYE KUPELEKWA NDANDA. AKIWA NDANDA HALI YAKE ILIZIDI
KUWA MBAYA, TAREHE 1/9/2016 ALIPATA RUFAA YA KWENDA MUHIMBILI,
AMEFARIKI AKIWA NJIANI SOMANGA O2/9/2016 MAJIRA YA SAA 8:25 USIKU.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI
AMINA.
TAARIFA ZA MAZISHI ZITATOLEWA BAADA YA KUWASILIANA NA NDUGU WA MAREHEMU.
IMETOLEWA NA.
OFISI YA MKURUGENZI WA MJI
MASASI
Post a Comment