Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana kwa kukumbatiana kwa furaha na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali
Mohamed Shein alipowasili katika uwanja wa Gombani ya kale Chake chake
kisiwani Pemba kwa ajili ya kuhutubia wananchi wa Pemba Septemba 2,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza jambo na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein
kabla ya kuhutubia mkutano wa katika uwanja wa Gombani ya kale Chake
chake kisiwani Pemba LEO ASUBUHI-Rais
Dk. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono viongozi mbalimbali wa mkoa
wa Dar es Salaam katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere wakati akielekea Kisiwani Pemba
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili
Kisiwani Pemba kwa ajili ya kuzungumza na wanachi wa Kisiwa hicho.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Abdallah mara
baada ya kuwasili kisiwani humo kwa ziara ya siku moja Septemba 2, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia
ngoma ya kuyumbizi mara baada ya kuwasili Kisiwani Pemba.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiweka shada la maua katika Kaburi la Marehemu Dkt. Omar Ali Juma
Makamu wa Rais wa zamani katika awamu ya Tatu katika kijiji cha Wawi
Bigilini kisiwani katika Wilaya ya Chake chake Pemba Septemba 2,2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisali
kwenye kaburi hilo la Marehemu Dkt. Omar Ali Juma Makamu wa Rais wa
zamani katika kijiji cha Wawi Bigilini kisiwani katika Wilaya ya Chake
chake Pemba.
Mama Janeth Magufuli akiweka shada la maua katika kaburi la Marehemu
Dkt. Omar Ali Juma Makamu wa Rais wa zamani katika kijiji cha Wawi
Bigilini kisiwani katika Wilaya ya Chake chake Pemba.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa mkewe
Mama Janeth Magufuli Magufuli wakiomba dua iliyokuwa ikiongozwa na
Kiongozi wa dini ya Kiislamu Shekhe Mohamed Suleiman mbele ya kaburi la
Marehemu Dkt. Omar Ali Juma Makamu wa Rais wa zamani katika kijiji cha
Wawi Bigilini kisiwani katika Wilaya ya Chake chake Pemba.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
azungumza mara baada ya tukio la uwekaji mashada katika kaburi la
Marehemu Dkt. Omar Ali Juma Makamu wa Rais wa zamani katika kijiji cha
Wawi Bigilini kisiwani katika Wilaya ya Chake chake Pemba.
Post a Comment