Ligi
ya Mabingwa Ulaya inaendelea Leo hii kwa kuzikutanisha Timu mbalimbali
katika makundi tofauti. Mitanange hiyo itaanza kurindima mnamo saa Tatu
na Dakika arobaini na Tano Usiku kwa majira ya Afrika Mashariki.
Group C
Manchester City vs Borussia Moenchengladbach
Group E
Bayer Leverkusen vs CSKA Moscow
Tottenham Hotspur vs Monaco
Group F
Legia Warszawa vs Borussia Dortmund
Real Madrid vs Sporting CP
Group G
Club Bruge vs Leicester City
Fc Porto vs Fc Koebenhavn
Group H
Juventus vs Sevilla
Lyon Vs Dinamo Zagreb
Post a Comment