Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji CHARLES MWIJAGE
Serikali imesema watanzania wanayo fursa katika viwanda vidogo hivyo imewataka kwenda katika Shirika la Viwanda Vidogo -SIDO
Serikali imesema watanzania wanayo fursa katika viwanda
vidogo hivyo imewataka kwenda katika Shirika la Viwanda Vidogo -SIDO
kujifunza namna ya kuwekeza katika sekta ya viwanda vidogo.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Viwanda, Biashara na
Uwekezaji CHARLES MWIJAGE wakati akitolea ufafanuzi juu ya soko la
nyanya nchini.
Post a Comment