Baada ya serikali kuamua kuamisha Makao Makuu ya Serikali kutoka Dar es
Salaam na kuwa Dodoma tumeendelea kuona harakati hizo zikiendelea kwa
kasi ya ajabu ambayo inaleta matumaini kuwa nikweli Serikali Imeamua
Kuamishia Makao Mkuu Mjini Dodoma.
Kwa muda mfupi tu tangu Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa aamuru uwanja wa
ndege wa Dodoma Utanuliwe ili uweze kukidhi, leo hii uwanja huo
unaonekana tayari usha kamilika na muda sio mrefu uwanja huo utaanza
kutumika rasmi..
Post a Comment