Nigeria imeripoti
kesi mbili za ugonjwa wa polio katika jimbo la Borno eneo ambalo kuna
idadi kubwa ya wapiganaji wa Boko Haram.Watoto wawili wamepooza kutokana
na ugonjwa huo.
Shirika la afya duniani limesema ndio kesi za kwanza kwa miaka miwili sasa.Kesi hizi zimekwamisha matumaini ya kukomesha Polio kwa mwaka huu.
Umoja wa mataifa umekanusha uvumi kuwa chanjo za polio zina lengo la kusababisha kutozaa kwa wailsamu
Post a Comment