Ufunguzi wa michezo ya Olimpiki ya Rio2016
5.55am:Fataki zinawashwa katika uwanja huo fataki Rio
5.50am:Na mwenge wa Olympic
uliowasili katika uwanja wa Mariccana unapokezwa aliyekuwa mwanariadha
wa mbio za Marathon nchini Brazil Vanderlei Cordeiro de Lima - Ambaye
anauwasha mwanga katika uwanja huo ishara ya ufunguzi rasmi ya michezo
hiyo.
Post a Comment