Kwa wengi wetu tusiokua na simu za mtandao wa 4G kuna wakati internet
inakua slow sana kiasi kwamba huwezi hata kutuma meseji ya whatsapp, hii
inasababishwa na mambo mengi sana ikiwemo hali ya hewa, sehemu uliyopo
pamoja na mengine mengi sana ya kimtandao hata hivyo tumesha wahi kuona
hapa tanzania katika vipindi mbalimbali vya mvua kuna baadhi ya mitandao
inasumbua sana hasa kwenye upande wa internet.
Lakini kuna baadhi ya njia ambazo zinaweza kusaidia simu yako kuwa na internet yenye speed hata kwenye kipindi cha mvua ambapo internet inakua ya shida sana kutokana na matatizo ya kimtandao. Hata hivyo ili uweze kufanya moja kati ya njia hizi ni lazima ujue ni kwanini internet inasumbua kwenye simu yako ukisha gundua hilo ndipo ufuate hatua hizi, kwa leo tunaenda kufanya njia ya kubadilisha “Network mode” njia hii ni rahisi na ni ya haraka zaidi na inaonekana kuwa yenye mafanikio zaidi kuliko njia nyingine.
Ila unaweza ukawa unajiuliza Je ni kwanini tunafanya hivi.? Jibu ni kwamba tunafanya hivi kwa sababu smartphone nyingi zimetengenzwa na “network mode” zaidi ya moja ili kusaidia pale Network moja inapokosekana itumike nyingine, kwa mfano inawezekana mahali ulipo hakuna internet ya 3G au 4G hivyo simu yako moja kwa moja itabadilisha Network Mode kwenda 2G ili kukusaidia kuendela kupata internet mahali popote ulipo hata mahali ambapo hakuna network kubwa kama za 3G na 4G.
Moja kwa moja baada ya kujua hayo sasa chukua simu yako na fuata hatua hizi ili kuongeza speed ya internet katika smartphone yako. Moja kwa moja ingia katika Setting kisha bofya Connection kisha bofya More Networks alafu bofya Mobile network alfu utabofya kwenye Network mode hapo litatokea box lenye sehemu zifuatazo wcdma/gsm (auto connect), wcdma only na gsm only kama umeziona sehemu hizo basi moja kwa moja bofya sehemu ilipoandikwa wcdma only. Baada ya hapo utaona nework ya simu yako ikizima kisha kuwaka tena, ukimaliza hatua hizi jaribu kutumia internet yako hapo utaona speed ya internet kuongezeka sana.

Post a Comment