0

Kilombero. Wabunge wawili wa Chadema wameshinda kesi zao za uchaguzi zilizokuwa zikiwakabili dhidi ya waliokuwa wagombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka jana.

Wabunge hao ni Suzan Kiwanga wa jimbo la Mlimba na Peter Lijualikali wa jimbo la Kilombero ambao hukumu ya kesi zao imesomwa leo.

Post a Comment

 
Top