Mkutano wa kimataifa kuhusu
maambukizi ya virusi vya ukimwi na ukimwi unaanza leo mjini
Durban,Afrika kusini ukiwa na lengo la kuongeza harakati za kukabiliana
na ugonjwa wa ukimwi.
Takwimu za maambukizi kwa ujumla imeshuka lakini
bado kuna watu wapatao milioni thelathini na sita wanaishi na virusi vya
ukimwi vinavyosababisha Ukimwi.
Nchi hiyo ilipata sifa kubwa katika vita dhidi ya UKIMWI miaka ya 90 ambako kasi ya maambukizi ilipungua.
Mwaka
wa 2013 takriban watu zaidi ya milioni moja Unusu walikuwa wakiishi na
virusi vinavyosababisha UKIMWI na katika kipindi hicho watu laki sita na
elf tatu walifariki kutokana na magonjwa yanayohusiana na UKIMWI.
Post a Comment