Eid Mubarak kwa WATU wote duniani..tule vizuri,tunywe vinywaji halal vilivyo vizuri,tuvae vizuri na kuwakaribisha wageni,majirani katika chakula cha pamoja.tusisahau ibada na kufanya mema.Sheherekeeni sikukuu bila kuvunja sheria za nchi.
TUNASUBIRIA KIDOGO KURASA ZA MAGAZETI YA LEO BAADA YA MUDA MFUPI YATAKUWEPO HAPA HAPA.
Post a Comment