Soko la Mwanakwerekwe lililopo huko Zanzibar lina teketea kwa Moto muda Huu.. Mpaka sasa bado haijafahamika Chanzo cha kuzuka moto huo mpaka sasa Gari la Zimamoto limefika eneo la tukio na juhudi na jitihada za kuuzima moto huo zinaendelea kwa kushirikiana na wananchi wa eneo hilo
Tutakujuza zaidi nini kinaendelea katika kuzuka kwa moto huo...
Post a Comment