Gari
la Mwendo wa haraka lenye namba za usajili T 968 DGV limegongwa na gari
aina ya Cresta lenye namba za usajili T 295 BVC leo katika eneo la
Kisutu jijini Dar es Salam. Chanzo
cha ajali hiyo inasemekana ni Dereva wa gari dogo aina ya Cresta
kutokuangalia vizuri wakati anavuka barabara ya mabasi yaendayo haraka
katika eneo la Kisutu jijini Dar es Salaam.
Gari
aina ya Cresta lenye namba za usajili T 295 BVC linavyoonekana katika
picha baada ya kugonga gari la mwendo haraka katika eneo la kisutu
jijini Dar es Salaam leo.
Post a Comment