Kuelekea siku ya mtoto Afrika ambayo huadhimishwa June 16 kila mwaka, mwaka huu ina kauli mbiu ‘ubakaji na ulawiti wa watoto vinaepukika chukua hatua kumlinda mtoto‘
Kuanzia mwaka 2013 Manispaa ya Ilala
kupitia kituo cha One Stop Centre na ofisi za ustawi wa jamii hadi March
mwaka huu 2016 Jumla ya watoto 1213 walipatikana na kupewa huduma baada
ya kufanyiwa vitendo tofauti vya ukatili, kati ya hao 863 ni matukio
ya ukatili yaliyopokelewa One Stop Centre-Amana Referal Hospital.
469-walibakwa
163 -waliolawitiwa
114- ukatili wa kimwili
267 -kutelekezwa
143- waliookotwa
34 -watoto waliobakwa na kulawitiwa pamoja
421- watoto walioathirika kisaikolojia baada ya kufanyiwa ukatili baada ya kutelekezwa
24- watoto waliopimwa DNA baada ya mgogoro wa wazazi wao.
Post a Comment