Shirika la Red
Crescent organisation linasema kuwa idadi ya miili ambayo imepatikana
katika ufukwe wa bahari magharibi mwa Libya imeongezeka na kufikia 117.
Haijulikani ni lini walifariki.Walibebwa na maji na kuachwa katika ufukwe wa mji wa Zuwara,ambapo maboti mengi yalio hafifu baharini yanadaiwa kuondoka kueleka Italy yakiwa yamejaa wahamiaji.
Post a Comment