Lushoto. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi
ametaka shamba la kahawa la mlowezi wa Kizungu, kupimwa viwanja vya
makazi kwa sababu Lushoto ni Mamlaka ya Mji Mdogo haipaswi kuwa na
mashamba makubwa katikati ya mji.
Pia, amepiga marufuku uuzwaji shamba la Chama cha Ushirika cha Usambara, lililopo eneo la Bumbuli wilayani Lushoto, Tanga lenye ukubwa wa eka 455.
Lukuvi alitoa agizo hilo juzi alipokuwa akizindua Baraza la Ardhi na Nyumba mjini Lushoto.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bumbuli, Amir Shehiza alisema wamepokea maagizo ya waziri na watayatekeleza kwa faida ya halmashauri.

Post a Comment