Kama tunavyojua chunusi hazitakiwi kusababisha makovu lakini ukitumbuaji
au kubadua chunusi kunasababisa makovu kwenye uso au mwili.
Kama unamakovu ya chunusi kuna namna nyingi ya kuweza kuyaondoa makovu
hayo lakini treatment zake zinaweza kuwa na maumivu sana au za ghali
sana lakini kuna njia za kihalisia za kuweza kuondoa makovu hayo.
1.Paka bleach cream kwenye sehemu zenye makovu ambapo cream hii husaidia kuyangarisha makovu
2.Pia unaweza kutumia kuondoa ngozi ya juu (Exfoliate) kwa kutumia
facial body scrub kwa sehemu zile zenye makovu lakini inategemea na
sehemu gani ya mwili. Uondoaji huu wa layer ya juu (Exfoliate) unaweza
kufanya angalau mara mbili kwa wiki.
3.Tumia product ambazo zina `hydroxy acids` hii acid hutokea kihalisia
na hutibu ngozi yako na vile vile ngozi yako itaonekana younger and
smoother, na makovu ya chunusi hupotea. Unaweza kupata hydroxy acids
tofauti tofauti za skin care products kam vile cleansers, lotion na
serums.
4.Pia unaweza kumassage makovu ya chunusi kwa maana massage hushauriwa
kwa ajili ya mzunguko wa damu ambapo husaidia hufika katika sehemu zile
zenye makovu ambapo tunaambiwa massage pia husaidia sana kuvunja scar
tissue.
5.Vile vile kuna diet za kufanya ambazo husaidia kuondoa makovu kwenye
ngozi ambapo unatakiwa kula vyakula vyenye vitamins na nutrition
vinasaidia kutengeneza ngozi yako kuwa na afya.Kama lishe yako sio nzuri
ngozi yako pia haitaweza kujitengeneza yenyewe (heal its self)na itakua
ngumu kuondoa makovu kwenye mwili.
6. Waweza pia kutumia cream maalumu kwa ajili y akuondoa makovu mwilini
na crea hizi hupatikana sehuku nyingi na husaidia sana kuondoa makovu ya
chunusi.Unachotakiwa ni kufuata maelekezo ya cream unayotumia ambapo
utatakiwa kupata kwa muda kadhaa kwa muda wa wiki 12 kabla ya kuona
matokeo.
Post a Comment