0


Una wasiwasi kuhusu taarifa zako katika simu yako iliyopotea, kwa sasa unaweza kuifunga simu yako ili mwizi aliekuibia asiweze kuitumia tena

Google android manager ni huduma ambayo itakusaidia kujua eneo ambapo simu yako iliyopotea au kuibiwa ipo.Unaweza pia ukiwa mbali na simu yako ukaifanya itoe mlio na kufuta data zote.Unachotakiwa ni kuongeza kitu kimoja katika orodha yako ya simu.

Toleo jipya la Android Device Manager litakusaidia kwa remotely kufunga simu yako kwa password.Kama unataka kuzuia watu wengine wasiweze kuitumia simu yako, unaweza kutuma neno la siri jipya.

Kipengele hiki ni rahisi zaidi kutekelezeka, katika simu yako fungua Android device manager. Angalia option ya remotely locate your device na allow remote lock and factory reset.

Fungua website ya Android device manager na scan device yako, utaona machaguo matatu,"Ring,Lock na Erase". Kutuma lock code mpya katika simu yako, bonyeza

Enter and confirm the new password na baada ya hapo click"Lock"button.Ukifanya hivyo katika simu yako itaonyesha alphanumeric keypad ikimtaka mwenye simu kuingiza password mpya ili aweze kuitumia hiyo simu.

Post a Comment

 
Top