Baada ya kumkosa staa wa Leicester city Jamie vard kocha wa Arsenal
Arsene Wenger ameamua kuamishia nguvu zake kwa staa wa Everton na Timu
ya taifa Ubelgiji Romelu Lukaku.
Mwandishi wa habari za michezo nchini Italy ameripoti kuwa
Lukaku amekubali dili la kusaini Arsenal dili hili limekuja baada ya
kumkosa staa wa England Jamie Vard.
Kwasasa Lukaku yupo nchini Ufaransa Na Timu yake ya taifa
ya Ubelgiji inayoshiriki michuano ya Euro Na ameshafunga magoli mawili
katika mechi tatu walizocheza.
Post a Comment