Ikiwa june 25 Ligi ya Liwale Super Cup leo kulikuwa na mchezo kati ya Polisi fc Vs Mnarani fc mchezo uliochezwa uwanja wa wilaya ya Liwale.
Timu ya polisi fc katika kipinda cha kwanza ilikuwa inaongeza bao 4,bao zilizofungwa na Huseni Abdala dakika ya 15,Rajibu Twalibu dakika ya 18,Musa Selemani dakika ya 29 na goli la mwisho lipachikwa na Rajibu Twalibu dakika ya 32 na goli la kufutia machozi la Mnarani fc likifungwa na Jemsi dakika ya 83.
Dakika 90 za mchezo zinakamilika matokeo yalikuwa Polisi fc 4-1 Mnarani fc.
Post a Comment