Basi la NBS linalotoka DAR kwenda TABORA limepata ajali mbaya maeneo ya
Gairo Morogoro. Watu 4 wafariki na 10 kujeruhiwa katika ajali ya basi la
NBS.
Huku ajali nyingine ya basi la KISBO likijeruhi watu kadhaa Morogoro.
Basi la Kisbo T895CYL Limepata ajali ya kuparuzana na trailer flatbed
eneo la Magubike Kilosa.



Post a Comment