A.ALAYKUM KUNA TAARIFA SASA HIVI KUTOKA KWA MSIKITI WA BAKWATA WA
WILAYA YA NYAMAGANA KUWA WAISLAM WA MSIKITI ULIOKO KATA YA MKOLANI
WILAYA YA NYAMAGANA WAKIWA KWENYE SWALA YA ISHA WALIVAMIWA NA WATU
WANAODHANIWA KUWA NI MAJAMBAZI NA KUWAPIGA MAPANGA NA WAUMINI WATATU
INASEMEKANA WAMEFARIKI DUNIA. KATIBU BALLA..
BARUA YA UTHIBITISHO WA JESHI LA POLISI..
Post a Comment