0

Timu ya Nangando fc
                                             Timu ya Likongowele fc
Ligi ya mbuzi vijana cup wilayani Liwale  Leo ikiwa mei 19 ligi iliendelea katika uwanja wa shule ya msingi Muungano kati ya Likongowele fc dhidi ya Nangando fc Mpaka dakika 90 zinamalizika Nangando fc imeibuka Na ushindi wa goli 4-2.

Magoli ya Nangando yalifungwa
Dakika ya 5 na Shehani Chikanga Dakika ya 10 na Ligubi Ligubi
Dakika ya 66 na Ligubi Ligubi
Dakika ya 87 na shehani Chikanga

Magoli ya Likongowele fc dakika ya 22 na Isihaka Haji dakika ya 65 na Faraji Manyai.
Baada ya mchezo kumalizika Abilah Rashid Kocha wa Nangando fc alisema kuwa ametumia mapungufu ya wapinzani wao katika mchezo wa leo Na hiyo Ndio sababu kubwaa ya wao kuibuka na ushindi katika mchezo wa Leo.

Post a Comment

 
Top