mchezo kati ya timu ya Wakaanga Sumu Vs Sido fc

Mchezo kati ya Wakaanga Sumu dhidi ya Sido fc umemalizika katika dakika 90 katika uwanja wa shule ya msingi muungano wilayani Liwale jana may 18 kwa sare ya goli 2-2.
Katika kipindi cha kwanza magoli ya Sido fc walifungwa namo
dakika ya 7 na 15 yote yakipachikwa na Haikosi Mpwate na goli la
Wakaanga Sumu likufungwa na Bocho Shabani dakika ya 24.
Katika kupindi cha pili Wakaanga Sumu walisawazisha goli katika dakika ya 70 goli lililofungwa na Stamili Abduli.
Mpaka dakika 90 zinakamilika matokeo ya mchezo huo yalikuwa Wakaanga sumu 2-2 Sido fc.
Mocha wa Sido fc, Mohamedi Emma alisema mchezo wa leo haukuwa mzuri sana kutokana na mahamuzi ya refari si mazuri sana alishauri refari achezeshe vizuri kwa kufuata sheria nae kocha wa Wakaanga Sumu,Saidi Matongo alisema mchezo wa leo ameyakubali matokeo ya mchezo.
Mwandishi wa Liwale Blog alizungumza na kamisaa wa mashindano ya ligi Bwana Shamte
Mohamedi Shamte aliuzwa halichukua hatua gani kwa baadhi ya michezo 2 iliyovunjika baada ya kubota na Z fc kuanzisha vurugu? bwana Shamte aliweza kutoa jibu na kuzungumzia sakata la mechi hizo mbili za majuzi mei 16 kati ya Vijuso fc Vs Kubota
fc na juzi mei 17 kati ya Z fc Vs Kigamboni fc kutokumalizika uongozi
uliamua haya.
Bwana Shamte alisema kanuni ya ligi ipo wazi kwamba Timu yeyote au zote ambazo imeanzisha au zimeanzisha fujo katika mechi ya mei 16 na mei 17
juzi zimeandikiwa barua na zimefungiwa katika mashindano hayo ya Kombe la mbuzi timu hizo ambayo ni timu ya Vijuso fc Na Z fc na aliongeza kusema kuwa timu huku mwishoni huwa hazikubali matokeo ya mchezo.

Post a Comment