0


Ligi ya mbuzi vijana cup inayofanyika wilayani Liwale jana kulikuwa na Mpambano kati ya Kubota fc Na Wakaanga sumu fc  umemalizikaa kwa Wakaanga Sumu fc kuibuka Na ushindi wa goli 1- 0 katika mchezo uliopigwa jana katika uwanja wa Shule ya msingi Muungano.
Goli pekee la Wakaanga Sumu fc limefungwa Na Emma Emma katika dakika ya 60.

Post a Comment

 
Top