Kipindi cha kwanza timu zote zilikuwa na nguvu sawa na kulazimishana kupumzika wakiwa sare ya goli 1 kwa 1,goli la la timu ya Kombaini lifungwa na Yasini Nganyaga.
Mchezo katika kipindi cha pili ulikuwa mkali kwakuwa kila timu ikiwa na shauku ya kutafuta pointi 3 lakini timu ya Mnalani ilizidiwa uwezo na wakijikuta wakiambulia kuongezwa goli la pili lilofungwa na Masudi Mbwana matokeo hayo yalidumu mpaka dakika 90 ya mchezo unamalizika matokeo yakuwa Mnalani 1-2 Kombaini.
LEO MAY 4 KUTAKUWA NA MCHEZO MKALI TENA KATI YA VIJUSO Vs WAKAANGA SUMU
KESHO MAY 5 KIGAMBONI Vs NANGANDO
KESHO MAY 5 KIGAMBONI Vs NANGANDO
KUANGALIA MATOKEO YA MECHI ZILIZOPITA BOFYA HAPA
Post a Comment