0
 Basi la Diamond Luxuary lenye namba T 110 DEF limenusulika kupinduka barabara ya Nangurukuru katika kijiji cha Zinga wilayani Kilwa lililotokea Wilayani Liwale mkoani Lindi kwenda jijini Dar es salaam jana.
Abiria walisema Katika tukio hilo kondakta ndio aliyejeluhiwa mkono hata hivyo anaendelea vizuri na hakuna mtu aliyepoteza maishaari 
Chanzo kilichosababisha mpaka gari kuingia kwenye mtalu gari jingine aina ya kenta ilitokea mbele katika harakati ya  kuikwepa ndipo dereva aliingiza kwenye mtalu na kuchegama kwenye kingo za barabara.



Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top