Amir khan Apigwa "KO" na Canelo alvarez, Angalia Video hii hapa Live 0 Michezo 07:21:00 A+ A- Print Email Bondia wa uwingereza AMIR KHAN amepokea kipigo cha "KO" kutoka kwa bondia CANELO ALVAREZ wa Mexico katika round ya 6 ya mchezo huo uliofanyika Las Vegas nchini Marekani leo asubuhi hii. Tazama Video ya kipigo hicho cha ''KO''
Post a Comment