Barcelona dhidi ya Real Madrid
Mkufunzi wa kilabu
ya Real Madrid Zinedine Zidane amesema kuwa yeye na wachezaji wake
hawana shinikizo yoyote kabla ya mechi ya El Clasico kati ya Real Madrid
na Barcelona katika uwanja wa Nou Camp.
Viongozi wa ligi Barcelona wako pointi 10 mbele ya wapinzani wao na wanakaribia kushinda taji la tatu katika misimu minne.''Nimetulia,Hii ni soka na nitajifurahisha,''alisema Zidane siku ya Ijumaa.
Post a Comment