Nimekuwekea Picha 15 za Matukio mbalimbali wakati wa utangazaji wa matokeo.
Hamad Rashid Mohamed ambaye alikuwa mgombea Urais kupitia ADC akimpongeza Dk. Ali Mohamed Shein
Hamad Rashid Mohamed ambaye alikuwa mgombea urais kupitia ADC akiongea baada ya Dk. Ali Mohamed kutangazwa mshindi
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salum Jecha akimpongeza Rais mteule Dk. Ali Mohamed Shein.
Dk. Ali Mohamed Shein, Rais mteule wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar
.
.
.
.
.
.
.
.
Post a Comment